Ni Septemba 7, 2023 ambapo Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kufanya tathmini maalumu ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta unaotumika ili kuondoa kasoro na kama unapelekea changamoto zaidi basi ule wa zamani uboreshwe ili kuondokana na changamoto mbalimbali za mafuta zinazojitokeza kila mara.