Cardi b na Offset wameingia kwenye Instagram kupeana maneno na kupongezana kuhusu kuadhimisha miaka 6 ya ndoa yao.
Wanandoa hao waliooana kimya kimya mnamo Septemba 20, 2017.
Offset alishiriki picha za Cardi akipiga picha na mpangilio mzuri wa maua aliopamba nao nyumba yao na kuandika jinsi alivyo na maana kwake.
Alisema: “Happy anniversary my beautiful Gorgeous Pretty Wife. Tangu nilipokutana nawe nilikua nakuwa mwanaume bora bila kujali una nijua na ninaweza kukuamini na maisha yangu yamebarikiwa kuwa na mwanamke mwaminifu mwenye nguvu upande wangu..
‘.ulinibariki na watoto wazuri wewe ni sehemu yangu salama katika ulimwengu huu wa kichaa unaniamini zaidi kuliko mimi wakati mwingine… I couldn’t imagine a life without you….. we went continue life together I LOVE YOU. .”
“Ride for you and you know that,” Cardi alijibu chapisho la Offset.