Taifa la Sudan barani Afrika limegubikwa na mzozo mkubwa sana wa wakimbizi wa ndani duniani.
Takriban watu milioni 5.6 wamekimbia makazi yao ndani na nje ya Sudan baada ya mapigano ya zaidi ya miezi sita, kulingana na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu.
Watalam wa masuala ya kutetea haki za binadamu wanahofia kuwa nchi hiyo huenda ikatumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
tazama pia ..