Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo November 02,2023 amemtambullisha Bungeni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda ambaye amefika Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendeshwa na Bunge.