Katika kikao chake leo tarehe 03 Novemba, 2023, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuzingatia matakwa ya ibara ya 78(4) ya Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania,
197 ikisomwa pamoja na kifungu cha 86A (6) na (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 imemteua Ndugu AZIZA SLEYUM ALLY kuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uteuzi huo umefanvika baada va Tume kupokea barua v e n e Kumb. Na. CEA.137/400/02A/22 ya tarehe 19 Agosti, 2023 kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivoandikwa kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Taifa va Uchaguzi, Sura va 343 ikitaarifu Tume kuhusu uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kufuatia kujiuzulu aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Bahati Keneth Ndingo.
Imetolewa na:- Imminara Kaíhma, R. K MKURUGENZI WA UCHAGUZI