Ndoto ya wazazi wengi ni kuona watoto wao wakikijipatia kipato na kufanikiwa kwa kutumia njia tofauti kama vile ajira katika sekta za fedha, habari, udaktari, sheria huku kama hawatopenda kuajiriwa basi ni ndoto ya wengi kufanikiwa kupitia kujiajiri ila mrembo huyo kutokea nchini uingereza alichagua njia ya kiutofauti zaidi ambayo huenda wengi wataiona ni ya kutatanisha kwani isabelle walton hutumia muda wake mwingi katika siku yake kukaa na wafu.
Kazi ya mrembo huyu ni kukaa na kuaanda miili ya marehemu kabla ya kufanyiwa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho.
” kwa mujibu wa isabelle, anajivunia kazi yake. moja ya maelezo ya isabelle ni kwamba mara nyingi vyumba vya kuhifadhia maiti huwa na harufu isiyo ya kawaida, na hii ni kutokana na kemikali zinazotumika kwaajili ya kuhifadhia maiti ila kwake yeye, anaona ni sawa tu na huwa hasikii harufu yeyote ya ajabu.
Tazama pia..