aada ya miaka minne kupita toka livunjike kundi la Wasanii wa Bongofleva The Mafik, hatimaye limerejea rasmi likiwa na member wengine wapya watatu huku wa nne akiwa ni Mkongwe Kwenye kundi hilo ambaye ni Hamadai.
Wakiongea usiku wa kuamkia leo wakati wakutambulisha kundi hilo kwa mara nyingine, Wasanii hao wamesema wamekuja upya na Watanzania wategemee kitu kizuri.
The Mafik ‘wameanza na Mungu’ ukiwa ndio wimbo wa kwanza kuutambulisha.