Mnamo tarehe 5 Desemba, 2023 kupitia Mitandao mbalimbali ya kijamii, imeripotiwa taarifa ya malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa makasha katika Bandari ya Dares Salaam kwa kile kinachodaiwa kuwa ni hujuma dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kufuatia taarifa hiyo, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Taarifa hiyo inasema :