Wakitoka kupoteza mechi zao za ufunguzi kwa vipigo kutoka kwa Ujerumani na Belgium, usiku wa jana timu za Uteno na Algeria zilicheza mechi zao za pili kwenye michuano ya kombe la dunia.
Ureno wakiongozwa na nahodha wao Cristiano Ronaldo walipata sare ya 2-2 dhidi ya USA.
Ureno ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika za mwanzo za mchezo kupitia Luis Nani, Marekani wakasawazisha kupitia Jermaine Jones, na zikiwa zimebaki dakika tisa mpira kuisha Clint Dempsey akafunga la pili.
Wakati mashabiki wa Ureno wakijua timu yao imeshapoteza mechi, Cristiano Ronaldo akatengeneza krosi kwenda kwa Varela aliyefunga goli la kusawazisha kwenye dakika ya mwisho kabisa ya mchezo.
Matokeo mengine ya mechi za jana – Algeria waliwafunga South Korea 4-2.
Takwimu za m
South Korea 4-4-2: S R Jung 3.5; Y Lee 5.5, Y G Kim 3, J H Hong 3, S Y Yun 5.5; S Y Ki 6.5, J C Koo 6, K Y Han 6 (D W Ji 78’ 6), C Y Lee 6 (K H Lee 64’ 6.5); H M Son 8, C Y Park 6 (S W
Kim 57’ 6.5)
Coach: Hong Myung-bo 6
Goals: H M Son ’50, J C Koo ’72
Algeria 4-2-3-1: M’Bolhi 7; Mandi 6.5, Halliche 7, Bougherra 5.5 (Belkalem 89’), Mesbah 6; Medjani 6.5, Bentaleb 6; Djabou 7.5 (Ghilas 73’ 6), Brahimi 8.5 (Lacen 77’ 6), Feghouli 7; Silmani 8
Coach: Vahid Halilhodzi 8
Goals: Slimani ’26, Halliche ’28, Djabou ’38, Brahimi ’62
Man of the Match: Brahimi
Mechi nyingine ya jana Belgium walikata tiketi ya kwenda hatua ya 16 bora baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Russia.