Mwimbaji wa Nigeria, Tems na meneja wake, Muyiwa Awoniyi, wamshukia mtandaoni kwa maneno mtayarishaji maarufu wa Marekani, ATL Jacob huku wakimuita mwongo.
ATL Jacob katika utetezi wake aliomba watoe ushahidi alipozungumza vibaya kuhusu yeye kwenye ukaguzi wa ngoma za Tems na aliahidi kuongeza pesa mara mbili ikiwa ataacha kusema uwongo dhidi yake.
Alikuwa mtayarishaji wa wimbo wake ulioshinda Grammy ambao aliwashirikisha wasanii wa Marekani, Drake na Future.