Mtoto huyu anaitwa Nafisa Moiz ana mwaka mmoja na miezi 5 anasumbuliwa na ugonjwa wa Spinal Muscular Atroph (ugonjwa wa kudhoofika misuli) ambao umemfanya ashiweze kutembea, kula, wa kupumua vizuri.
Ili apone na kuishi kama Mimi na wewe anahitaji kuchoma sindano Dubai ambayo gharama yake Dola Milioni 1.8 sawa na Bilioni 4.5, asipochoma sindano hiyo bas anaweza kufariki kabla ya kufika miaka miwili …
Mpaka sasa wazazi wake wamepata Bilioni 2.1 za kuchangisha na hawajafikia lengo, unaweza mchango Nafisa kwa namba zifuatazo M-Pesa: +255753919661 (Sakina Essajee), Airtel Lipa (Mchango wa Nafisa): 5806805, DTB account TSH : 5289770001