klabu ya PSG inatafakari kuwasilisha ombi la uhamisho wa kiungo wa FC Barcelona, Pablo Martín Páez maarufu Gavi majira ya kiangazi.
PSG kwa muda mrefu wamekuwa wakivutiwa na kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 ambaye jarida la The Athletic la nchini Uhispania limemtaja kwenye orodha fupi ya wachezaji wanaolengwa kwenye dirisha la usajili la msimu wa joto kali.
Ikiwa utakamilika uhamisho huo utamfanya Gavi kuungana tena na kocha wake wa zamani Luis Enrique, ambaye alicheza kwa mara ya kwanza walikutana katika klabu ya Barca akiwa na umri wa miaka 17.