Ni February 27, 2024 ambapo wenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) Freeman Mbowe amewaongoza Viongozi, Wafuasi na Wananchi mbalimbali katika maandamano ya amani katika Jiji la Arusha.
Hapa nimekusogezea Dakika 13 za Mbowe akihitimisha Maandamano hayo.