Daktari aliyenukuliwa alikuwa Dancan McDougall, aliyezaliwa mjini Glasgow, Uskochi 1866, na kuhamia mjini Massachusets, nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 20 baada ya kujipatia shahada yake katika chuo kikuu cha tiba mjini Boston.
Kama mtaalamu alihudumu muda wake mwingi kusaidia hospitali za hisani za wagonjwa wasiotibika katika mji wa Havernhill.
Kulingana na taarifa iliochapishwa na gazeti la The New York Times miaka sita iliopita, lengo lake ilikuwa kuchunguza iwapo kuondoka kwa roho katika mwili wa mwanadamu kulikuwa kunaweza kuambatana na dhihirisho lolote ambalo linaweza kusajiliwa.
Tazama zaidi