Shirikisho la soka Afrika CAF leo limepanga droo ya hatua ya robo fainali ya michuano ya CAF Champions League msimu wa 2023/2024.
Wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga wao kila mmoja ataanzia nyumbani kutokana na kumaliza nafasi ya pili katika kundi lao na michezo ya mkondo wa kwanza itachezwa 29&30/03/2024 na marudiano April 5&6 2024.
Simba SC wamepangwa kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri wakati watani zao wa jadi Yanga wamepangwa kucheza dhidi ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusin