Ni Machi 12, 2024 ambapo Mdhamini na mfadhili wa Young Africans, Ghalib Said Mohamed (GSM) aliwaalika Viongozi, benchi la Ufundi na wachezaji wa Yanga SC kujumuika katika iftar aliyiandaa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha Viongozi na wachezaji wakiwa nyumbani kwa Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed (GSM), tazama