Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro amezindua rasmi michuano ya Ramadhani Cup 2024 kwa kupiga penati.
Michuano ya Silent Ocean Ramadhani Cup 2024 itazinduliwa kwa mchezo wa kirafiki kati ya Waandishi wa Habari wa Online FC dhidi ya Main Stream FC ambapo Bingwa atapewa zawadi ya Tsh milioni 5.