Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 19 Machi, 2024 ametimiza Mwaka wa tatu tangu alipoapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na hapa yanabainishwa baadhi tu ya mafanikio yaliyopatikana katika muda huo.