Katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan ndani ya Uongozi wake hapa tunae Mkurugenzi wa kampuni inayohusika kusambaza na uuzaji wa Maziwa Tanzania, Ahmed Asas.
‘Kipekee ningependa kumshukuru Rais wetu Mama yetu amekuwa bega kwa bega hususani katika sekta hii yetu ya Maziwa na kwa niaba ya Uongozi mzima ningependa kumtakia Afya Tele na Usimamizi bora uliotukuka, tumeona mengi aliyoyafanya kwenye kipindi cha miaka mitatu, sisi kama ASAS tunamuahidi kuwa nae bega kwa bega kwenye ukuaji wa Ajira kwa vijana na uuzaji wenye viwango vya juu wa Maziwa nchini’– Ahmed Asas