Afisa wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka Dawati la Jinsia na watoto Tabata Maimuna Salimu amewashauri wanawake kutokuvunja ndoa na waume zao ikiwa wamezaa watoto kwani imekua sehemu kubwa ya chanzo cha ukatili wa kijinsia kwa watoto wanaokulia kwa baba pekee.
Koplo Maimuna ameongeza kuwa wanawake wengi wanavunja ndoa kwa visababu vidogo vidogo na waangalie zaidi watoto walio wazaa namna gani wataishi bila wazazi wote wawili.
“Watoto wengi wanabakwa na kulawitiwa kwasababu ya ndoa kuvunjika na zinavunjika kiholela mnoo,msivunje bila sababu za Msingi vumilieni mlee watoto,watoto wanadanganywa kwa pi