Picha:Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Nandagala, wilayani Ruangwa
Share
0 Min Read
SHARE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wazee kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa sambamba na hilo amepita kuangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake leo tarehe 24 Machi, 2024.