Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Said leo amepata mwaliko wa kumtembelea na kumjulia hali Dkt. John Samuel Malecela, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nyumbani kwake Dodoma.