Matukio ya wakinamama kutupa vichanga wao wanapozaliwa yamekua ni sehemu ya taarifa za mara kwa mara tunazozisikia hii ni nyingine ya Mwanamke aliyeshtukiwa akitaka kuua kichanga chake muda mchache baada ya kujifungua
Kibaya zaidi inasemekana alimvunja mguu mmoja ambao kwa mujibu wa Gea Habib amesema kuwa mguu huo unazunguka kama feni.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza.