Hospitali ya Rufaa ya Temeke imezindua mbio za kutembea kwa kasi (Walkathon) zitakazofanyika tarehe 27/7/2024 zikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto waliozaliwa kabla ya miezi 9.
Akizungumza na Waandishi wa habari Muandaaji wa mbio hizo Seif Abdul Mkaaga ameeleza kuwa unaweza kujisajili kwa Tsh 30,000 ila hata kama itakuwa Tsh 20,000 bado utajisali kwa ajili ya kuchangia Watoto hao.
“Marathin ni mbio za kukimbia sehemu ndefu na Walkathon ni mbio za kutembea kwa kasi hata kama ni sehemu mbali lakini unajikaza utembee”>>> Seif