Ni Headline za HESLB ambapo tarehe 4 June, 2004 HESLB ilizaliwa rasmi kufuatia kusainiwa kwa muswada wa Sheria ya HESLB kuwa sheria ya HESLB (Sura 178) na Hayati Mheshimiwa Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
‘Miaka 20 baadae tunashukuru kuwa HESLB inaendelea kuhudumia vijana wa kitanzania kwa juhudi kubwa-ikiwa TZS 7.2 Trilioni (USD 2.9 Bilioni) zimetolewa na kuwanufaisha watanzania zaidi ya 750,000’- Kutoka idara ya mawasiliano HESLB
‘Tunashukuru Mheshimiwa Dkt SAMIA Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- pamoja na watangulizi wake- kwa uamuzi wa kuanzisha HESLB uongozi imara na Dhamira ya kuhakikisha HESLB inaendelea kuwawezesha watanzania kupata Elimu ya juu’- Kutoka idara ya Mawasiliano HESLB