Shule ua Mchepuo wa Kiingereza ya Sakilight iliyopo PuguBombani Jijini Dar es Salaam imeipokea sera mpya ya elimuinayosisitiza watoto kujifunza kwa vitendo zaidi kwa kuanziashadarasa la somo la muziki na michezo mbalimbali.
“Tumeipokea sera hiyo nzuri na tumewekeza kwenye elimu yamuziki na michezo kwa ujumla na tuna timu za soka yawavulana na wasichanana marufu kama Sakilight Queen natunashiriki mashindano ya vijana ya kwa upande wa sokayanayoratibiwa na Chama Cha Soka Wilaya ya IIala (IDFA),” anasema Lightness Rwegasila Mkurugenzi wa Shule hiyo.
Anasema kwamba Dunia ya sasa imebadilika na kwamba vipajivinalipa na wao kama wadau wa elimu na michezo wameuakuwekeza kwenye sanaa na michezo.
Anafafanua kuwa katika shule yake amegundua kuwa vijanawengi wana vipaji na wao jukumu lao ni kuviendeleza nakuvikuza ili vijana waweze kufikia malengo yao na taifakufaidika na vipaji hivyo.
“Natoa wito kwa wazazi ambao watoto wao wana vipaji vyamuziki na michezo wawalete shuleni hapa kwani tuna mwalimumtaalums wa Muziki ambaye atawapika vijana wetu,” anasema .
Kuhusu sera mpya ya elimu, anasema itawawesha vijanakujiajiri au kuajirika kwa haraka kwani watakuwa wamebobeakatika fani husikal.
“Tuna mpango wa kuanzisha klabu mbalimbali za kazi zamikono kwa vijana kwa mfano upishi, ufundi Cherehani nanyinginezo kwa lengo la kuwasaidia vijana kupata ujuzi,” anasema
Anaishukuru serikali kwa kuwa karibu na shule hizo nakuzifanya zijiendeshe kwa mafanikio makubwa.
“Naishukuru serikali kwani inatuongoza kufikia malengo yetuya kutoa elimu kwa vijana wa Kitanzania,”
Kwa mawasiliano zaidi na Shule piga namba 0767847577