Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Amezindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma (kituo cha Morogoro), leo tarehe 1 Agosti, 2024.

Hapa nimekusogezea video akisimulia mara ya kwanza amepanda Treni ambayo iliingia katika historia na hatosahau aliyoyakuta.
VIDEO: RAIS SAMIA AKIWA KWENYE TRENI YA SGR WAKATI IKITEMBEA ‘HII KITU NILIKUWA SIJAONA’