Ni Agosti 1, 2024 Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Morogoro katika eneo la Stesheni ya Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua rasmi huduma za Usafiri wa Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma.
hapa nimekusogezea video ufahamu aliyozungumza Rais Samia kuhusu miradi iliyoachwa na Hayati Magufuli.