Meja General Charles Mang’era Mbuge leo ameagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 amragwa kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.
Mbuge amepitia katika nafasi mbalimbali za Uongozi baadhi ni Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa Kagera, Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi ya Waziri Mkuu
Kwenye video inasomwa historia ya Charles Mbugr akiwa Jeshini pamoja na alivyokagua gwaride.