Kwamujibu wa vyombo vya habari ombi lao la kwanza la kumnunua Mikel Merino limekataliwa Arsenal.
Kwa mujibu wa The Independent, The Gunners walitoa takriban pauni milioni 26 kwa kiungo huyo, lakini Real Sociedad wanashikilia karibu pauni milioni 30.
Merino anasemekana kutaka kuhamia London Kaskazini, lakini Real Sociedad ni ngumu kufanya mazungumzo nayo na mazungumzo yanaweza kudorora hadi mwisho wa dirisha.
Arsenal wanatumai kuongeza ada hiyo kwa miaka mitatu, lakini timu hiyo ya Uhispania inataka zaidi mbele.