Bodi ya Usajili wa Wakandarasi nchini (ERB) inatarajia kufanya matukio matatu makubwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutathmini mchango wao kwa Taifa na pia kukutana na akandarasi vijana ili kuwajengea uwezo.
Hayo yamebainishwa leo Agosti 26, 2024 jijini Dar es Salaam na Msajili wa Bodi hiyo Mhandisi Bernard Kavishe, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.