Ni Septamba 12, 2024 ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga Mbunge wa Jimbo la Kalenga, wamewasili Mkoani Tanga kwa lengo la kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya maji Mkoani humo.