Ni September 14, 2024 ambapo Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu Zanzibar (PBZ) na Makamu wa Rais wa Young Africans SC Arafat amemkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi jezi ya Young Africans kwenye Uwanja wa Gombani visiwani Pemba.