Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSFU) yasitisha kutoa leseni na kupiga marufuku maeneo yote ya Zanzibar yanayopiga mziki Bila ya kua na Soundprof ikiwemo Baa zinazopiga mziki Pub za kisasa zinazopiga mziki na kufanya shouw za wasani.
Katibu wa Baraza la Sanaa Zanzibar Juma Chum amsema wamefikia Uwaamuzi huo na haukuja tu balii umetokana na maudhi amabyo yanajitokeza kwenye mabaa muda wa ibada ,wanafunzi waliopo kwenye mashule na jamii kwa ujumla ambapo pia katibu amesema lengo ni kueka ustawi mzuri kwa jamii na sio kukandamiza sanaa na burudani
” kwa sasa Baraza la Sanaa Halitatoa Leseni katika maeneo ya Mabaa amabayo hayana maeneo maalum ya kudhibiti mziki ,kwa maeneo yenye soundprof tutaendelea na tutaendelea kuyasimamia kwa sheria na kanuni mbali mbali hatuna dhamira mbaya ya kukwaza shughuli za Sanaa na Burudani tunataka sanaa tunapenda Sanaa —Juma Chum “