Hatimaye The Weeknd ameufahamisha ulimwengu kuwa lini haswa tarehe kamili ya kutolewa kwa albamu yake mpya.
Hurry Up Tomorrow album mpya itatoka Januari 24, 2025, mwimbaji huyo alitangaza Jumatano (Novemba 27).
Ili kusherehekea, albamu hiyo The Weekend alisema atafanya onyesho kubwa la uwanjani la moja kwa moja kwa usiku mmoja tu usiosahaulika Uwanja wa Rose Bowl maarufu wa California siku moja baada ya albamu kudondoshwa.
Onyesho hilo, kulingana na taarifa kwenye vyombo vya habari, litakuwa ni tukio ambalo halijawahi kuonekana na kubwa sana hivi kwamba jukwaa litachukua sehem nzima ya uwanja.