Mwanamuziki wa Kike na Muigizaji filamu kutoka Nchini Marekani #selenagomez ameguswa na kutoa msaada kwa waathirika wa moto wa nyika waliopoteza makaazi yao Los Angeles.
Selena Gomez akiwa na mpenzi wake Benny Branco walionekana kugawa chakula kwa wokozi na pamoja na waanga kwa ujumla huku picha hizo akipost katika mfumo wa hadithi katika instagram yake.
Juma lililopia, Mwanamuziki mwenzake Beyonce kupitia Shirika lake la #BeyGOOD, lililoanzishwa mwaka wa 2013, lilitoa msaada wa bilioni 6.1 kwa wale ambao walipoteza nyumba na mali zao jimboni California kufuatia Moto wa Nyika Los Angeles.