Viongozi mbalimbali wa serikali wananchi ndugu na jamaa tayari wamewasili katika kata ya Olmoti jijini Arusha kuhudhuria shuhuli za mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe aliyefariki wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro KCMC
Miongoni mwa waliofika ni pamoja na Mfanyabiashara maarufu Bilionea David Mulokozi,Mkuu wa wilaya ya Magu Joshua Nassari na aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya