Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha nne na kusema ufaulu umeongezeka kwa asiliimia 3 na kufikia asilimia 92.37 ukilinganisha na ufaulu uliosajiliwa mwaka 2023.
Watahiniwa 477,262 kati ya watahiniwa 516,695 wamefaulu kwa madaraja la I, II III, na IV ambapo waliopata daraja la I had la III pia wameongezeka, Dk Said Mohammed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) amewaambia wanahabari.
TAZAMA ZAIDI….