Waziri wa Ujenzi mawasiliano na Uchukuzi zanzibar Mhe Dkt Khalid salum amesema rais wa zanzibar amekua akitoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbali mbali visiwani zanzibar ameyasema hayo kwenye ugawaji wa tuzo za ZICAN ambapo makampuni ya ujenzi tazania wametunukiwa tuzo hizo kwa utendaji kazi ikiwemo ETDCO iliopo kwenye mavuli wa TaNESCO ambay imeahidi kuja na teknologia ya kisasa ya kufanya matengenezo bila kuzima umeme
Dkt Khalid amesema sekta ya ujenzi na miundombinu imekua na changamoto nyingi licha ya kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye kuto ajira na kuchangia katika pato la taifa ambapo pia amewasisitiza wadau kwenda sambamba na tekenolojia.
Kampuni Tanzo ya Tanesco ETDCO nayo imeshind tuzo hiyo kwa kijikita kwenye ukarabati wa Miundombinu ya umeme tanzania ambapo kaimu meneja mkuu CPA Sadock ameeleza nia na mipango ya kisasa inayotarajiwa kufanyika na tanesco kwenye masuala ya umeme kwa kuendesha miundombinu kidijitali kwa kutozimwa umeme wakati wa magengenezo.