Hii ni kwa watu wangu waliobusy na kupitwa na magazeti redioni, nimewarekodia hapa
Share
0 Min Read
SHARE
Inawezekana wakati magazeti haya yanasomwa na kuchambuliwa ulikua mbali na radio, hizi ni dakika 17 ambazo zimechambuliwa na kusomwa kwako na PJ kupitia kipindi cha Power Breakfast.