Najua kuna uwezekano ukawa ulisikia fununu sana kuhusu iPhone6 au hata kuona baadhi ya taarifa feki kuhusu simu hii mpya, post hii ni maalum kukuletea taarifa sahihi na ya ukweli kuhusu iPhone6 ambayo ndio imetambulishwa rasmi.
Wanasema simu zote hizi mbili mpya zina A8 processor ambayo inafanya ziwe na kasi zaidi kuliko iPhone5 kwa asilimia 20.
Mengine yaliyosemwa ni pamoja na >> ‘the bigger displays allow for bigger batteries: 11 hours of video watching on the iPhone 6 and 14 hours for the iPhone 6 Plus — up from 10 hours on the iPhone 5S‘
And the iPhones will come with Apple’s new iOS 8 software, featuring a new HealthKit application that monitors users’ heart rates, sleep, weight and blood pressure among other health-related information. Apple said iOS 8 will be available Sept. 17 to customers who have an iPhone 4S, iPhone 5, iPhone 5C or iPhone 5S.
Zaidi unaweza kutazama kwa kubonyeza >>> HAPA
halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB