Baada ya kukosa michuano ya ulaya kwa misimu kadhaa hatimaye klabu ya Liverpool leo imerejea rasmi kwenye michuano hiyo wakianza kutupa karata yao ya kugombea ubingwa huo kwa kucheza dhidi ya Ludogorets.
Mechi hiyo iliyomalizika hivi punde kwenye dimba la Anfield ilikuwa ngumu huku wageni wakionekana kuwasumbua sana wenyeji.
Lakini magoli mawili ya mshambuliaji mpya wa Liverpool Mario Balotelli na nahodha Steven Gerrard yalitosha kuwapa Liverpool ushindi wa kwanA kwenye hatia ya makundi ya michuano hiyo.
Balotelli alifunga goli dakika ya 81, kabla ya goli hilo kisawazishwa na Dani Abalo dakika chache baadae, lakini huku zikiwa zimeongezwa dakika 2 Steven Gerrard akaiweka kambani penati yake na kuipa ushindi timu yake.
Liverpool: Mignolet 6; Manquillo 6, Lovren 6.5, Sakho 6, Moreno 7.5; Henderson 7, Gerrard 7, Lallana 6 (Borini 67, 6); Sterling 7, Coutinho 5 (Lucas 67, 6), Balotelli 5.
Subs: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Lambert, Suso.
Scorers: Balotelli, 81, Gerrard (pen), 90+2
Ludogorets: Borjan 6; Caicara 6, Moti 6.5, A Aleksandrov 6, Minev 6.5; Dyakov 7, Abel 7; M Aleksandrov 6.5, Marcelinho 6.5, Misidjan 6; Bezjak 6.
Subs: Gospodinov, Fabio Espinho, Angulo, Dani Abalo, Zlatinski, Wanderson, Younes.
Scorers: Dani Abalo
Referee: Matej Jug (Slovenia)