Unaambiwa hii inaitwa Zbee na inatumia nguvu ya umeme kutembea, ikiwa ni njia nyingine ya kupunguza uharibifu wa mazingira… ambapo pia betri yake inachukua muda mfupi kuchajiwa na kujaa.
Uwezo wake wa abiria ni kubeba watu watatu na huwa inahitaji service ndogo sema hii ni kwa ajili ya safari fupifupi za town ambapo pia kuchaji betri yake ikajaa inaweza kukupeleka kwenye safari ya umbali wa kilometa 50.
Zbee ambayo imekua ikitumika sana nchini Sweden ambako ndiko ilikoundiwa, inafahamika kama usafiri binafsi wa kufanyia shopping.
halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB
https://www.youtube.com/watch?v=4Qb-eAUvmlE