Hii nimekutana nayo Youtube, jamaa ameamua kutumia njia hii kumfariji mke wake ambaye alikuwa anasubiri kujifungua.
Mimi niliona kama kitu kigeni, hasa sana kwa mazingira ya hospitali. Hivi ikitokea mtu akafanya hivi kwa mazingira ya hospitali zetu jinsi zilivyo, naomba uniambie namna ambavyo unadhani manesi na madaktari watamfanya huyu jamaa ingekuwa ni hospitali za Kibongo…
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook