Huenda hukusikiliza radio asubuhi ya leo wakati Magazeti yakiwa yanasomwa na kuchambuliwa hewani, haujapitwa kabisa.
Nimekuwekea hii post na unaweza kutumia dakika 15 kwa sasa kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 13 2014, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM.
Story ziko nyingi ikiwemo taarifa kuhusiana na utafiti wa uliofanywa na Taasisi ya Twaweza, Nabii aliyejitabiria kifo na kufariki, na pia namba ya simu ya Rais Kikwete iliyotolewa ambayo mtu yoyote anaweza kumpigia simu na kumtumia Message pia kumjulia hali.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook