Pale siku yako ya furaha inapobadilika na kuingia majonzi, hakika haiwezi kuwa siku ambayo unaweza kuisahau kirahisi.
Hekaheka ya leo Novemba 19 inahusu wanandoa ambao walilazimika kufanya sherehe ya harusi wakiwa hawana pesa za kutosha kufanikisha sherehe hiyo.
Baada ya wawili hao kuamua kufanya sherehe hiyo, waliwaomba watu wanaotoa huduma za muziki, chakula na mapambo kutoa huduma hizo kwenye sherehe yao.
Baada ya kumaliza shughuli hiyo walidai malipo kwa huduma waliyoitoa, kutokana na michango iliyokusanywa kufikia kiasi cha shilingi laki laki moja na elfu sitini ambayo haikutosha kuwalipa, watu hao wanaodai pesa zao waliamua kupiga simu Polisi ili madai yao yakalipwe kituo cha Polisi.
Kuisikiliza Hekaheka hiyo bonyeza play hapa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook