Bado Escrow inachukua Headlines kwenye Magazeti, kama hukusikiliza Redio wakati Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa kupitia Power Breakfast ya Clouds FM hapa nimekuwekea sauti ambayo nimerekodi Magazeti hayo yakisomwa.
Bonyeza play kusikiliza Uchambuzi huo wa Magazeti ya Leo Novemba 25.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook