Kama ulimmis Bruno Mars… amerudi kwenye headlines na hii smash hit aliyoshirikishwa.
Share
0 Min Read
SHARE
Video ya hii new single imetoka November 19 2014 lakini mpaka December 14 ilikua imetazamwa zaidi ya mara milioni 28 huku likes zikiwa zaidi ya laki mbili na elfu 90 na dislikes zikiwa zaidi ya elfu 8.