Kulikuwa na story kutoka 254 Kenya ambapo Mchungaji mmoja Peter Kanyari alikumbwa na kashfa ya kufanya uponyaji ambao watu walidai kuwa haukuwa na miujiza ya ukweli ndani yake, bali ni watu waliokuwa wanaandaliwa ili wadanganye watu kwamba wameponywa na Mchungaji huyo.
Sasa leo nimekutana na video hii Youtube, nimekuwekea uone ambavyo huyu bwana anajibu maswali akiigiza kama ndio Mchungaji Kanyari.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook