Kutoka Mikocheni Dar es salaam, hizi ni dakika 3 za video inayoonyesha Shilole akivishwa pete ya uchumba na Nuh Mziwanda.
Share
0 Min Read
SHARE
AyoTV ilikua kwenye eneo lenyewe ambako kumefanyika party ya birthday ya msanii/mwigizaji Shilole December 20 2014 iliyofanyika Dar es salaam, kama unataka kuona ilivyokua bonyeza play kwenye hii video hapa chini…